Turathi za Ahlul Bayt (AS)
IQNA – Maandishi ya kale yanayonasibishwa na Imam Hasan al-Askari (AS) yamezinduliwa katika hafla katika Maktaba ya Mfawidhi wa Haram ya Imam Ridha (AS) maarufu kama Astan Quds Razavi huko Mashhad, Iran.
Habari ID: 3479418 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/11
Mawaidha
TEHRAN (IQNA)-Imam Hassan Askari (AS), Imam wa 11 wa Waislamu wa madhehebu ya Shia aliuawa shahidi mwaka 260 Hijiria sawa na mwaka 873 Miladia kutokana na njama iliyofanywa katika siku kama hizi na mmoja wa watawala dhalimu wa Bani Abbas.
Habari ID: 3477645 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/24